https://srv.adstxtmanager.com/2147483647/nwanajamiitanzania.blogspot.com'); exit; ?> TANESCO INAFANYA KAZI KUBWA

TANESCO INAFANYA KAZI KUBWA

Akiongea bungeni leo Waziri Mkuu Mh.Kasimu Majaliwa amesema,“TANESCO inafanya kazi ngumu na kubwa,hivyo kuigawa unahitajika umakini”. Ameongea hayo leo Bungeni Dodoma,wakati akijibu swali la Mh.Abbas Tarimba mbunge wa Kinondoni. Aliyedai shirika la TANESCO lifumuliwe ili yaundwe mashirika matatu,la Uzalishaji,Usafirishaji,na Ugawaji. Ambapo Mh.Majaliwa alijibu kuwa kwa sasa shirika linafanya kazi kubwa,linazalisha,linasafirisha,na kugawa.

Post a Comment

0 Comments