https://srv.adstxtmanager.com/2147483647/nwanajamiitanzania.blogspot.com'); exit; ?> SENSA YA WATU NA MAKAZI TANZANIA-2022

SENSA YA WATU NA MAKAZI TANZANIA-2022

Mwaka huu 2022 ni mwaka wa kufanya SENSA ya watu na makazi TANZANIA,

ambayo itafanyika AGOSTI 23 2022. MANUFAA YA KUFANYA SENSA:- 1.Kujua idadi ya watu waishio nchini, 2.Kujua mahitaji ya huduma za jamii zinazohitajika nchini, 3.Tathmini ya nchi kwa TAASISI na MASHIRIKA ya kimataifa [FAO, UN, UNHCR,WHO, UNDP] n.k,

https://business.fiverr.com/share/gE4YaA 4.Sensa pia inatumika kwenye takwimu za nchi, 5.Ni takwimu zitakazotumika miaka kumi ijayo mpaka 2032. MIONGONI MWA VITU VINAVYOHITAJIKA NI:- 1.Majina ya wanakaya wote, kuanzia mkuu wa kaya, mke wake na watoto kama wapo, 2.Umri wa kila mwanakaya, 3.Kazi anayofanya, 4.Idadi ya wanakaya katika kaya moja, na kadhalika. https://business.fiverr.com/share/gE4YaA Ikifika siku hiyo ya tarehe 23 mwezi wa nane [AUGUST] 2022, twende tukajiandikishe kwa pamoja. 

 TUFANYE SENSA ILI TUHESABIWE, KWA MAENDELEO YA JAMII NA NCHI KIUJUMLA.

Post a Comment

0 Comments